Unakutana naye Uso kwa Uso(Mwanamke) ,Gafla unajikuta mafaili yote kichwani Yamecorrupt

Hahahahaha sio kwa hizi comment nimecheka sina mbavu khaaaaa, wanaume kumbe mna kazi eheee
 
ukiona hivyoooo juaaa uyoo ndegeee si wako na mungu anakuepushaa na mizingaa foundation
 
Asee kama mm ilikuwa hivo hivo Dah moyo mbio mbio nikimuona demu alafu kumwambia Ndio nlikuwa siwezi Dah amakweli mapenzi hayana mwenyewe
 
Kuna kipindi kuna demu nilikuwa namlia mingo nikaja kukutana nae maeneo ambayo sikutengemea.
... Nilimpata sehemu gafla ambayo haina hata mtu..... nikaishia kumwambia neno la kipuuzi tangia siku hiyo sijaja kumwona tena hadi leo..... Najutia
 
hahaha pole sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…