Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 2,239
- 4,026
Vijana wenzangu mambo mengine niya kipuuzi na kutafutiana lawama.
Unakuta kijana mzima umeamua kuishi na mwanamke kama mkeo kwa tafsiri ni kwamba ulishaona kiuchumi una mmudu huyo mwanamke na ndio maana ukaishi nae sasa kwanini utupe kero vijana wenzako kwa starehe zako mwenyewe.
Kuna mshikaji tunatoka mkoa x wilaya moja hatuna urafiki kiivyo coz Melancholic huwa sitegemei marafiki katika ishu zangu tatzo. Huyu jamaa amekuwa kero kwangu yeye akinipigia simu ni mtu wa kuniomba msaada mbona wengine shida zetu tunatatua wenyewe yani jamaa amekuwa ombaomba utadhani yeye ni mwanamke hapa juzi kaamua kutoa mwanamke mkoani huko kaja kuishi nae jana ananipigia simu et mwanamke anaumwa kifua nayeye anabuku tu nikamwambia mie saiz pia sina kazi anaanza kulalamika
Et mara ooh..sijawahi kumpa hela hivi wewe kama umeamua kuowa kwa starehe zako ni kwanini utese wengine kwani mimi sitaki kuowa natamani sana kutoka kwenye mikono ya dronedrake sema ndio hivo uchumi aujaruhusu ila mwamba kutwa kunisumbua yani simu zake zote yeye ni kuomba hela aisee nasema sitoi ela na nina mlaba block kuanzia sasa hivi mambo mengine niya kipumbavu sana