Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 2,813
- 7,567
Wakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta linakukaushia tu. Limemkosa mhusika halafu linakuja kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia halafu linakuja kukuuliza sehemu fulani wapi, bila hata salamu
Jitu linakuja linakukuta may be upo kwa mtu linaemtafuta, bahati mbaya katoka kidogo umebaki wewe. Halisalimii linafikia kumuangaza mhusika linamkosa, linarudi kukuuliza fulani yuko wapi.. Unagongwa nini? 😡😡😡
Sijajua nyie reaction yenu huwa ikoje, ila mimi sitakagi ujinga. Ukinikuta mazingira fulani ukaacha kutoa salamu hakikisha hautahitaji msaada kwangu. Naweza nikakushushia vinu (matusi) hujawahi kutana navyo. Huwa natafsiri ni kama dharau.
Salamu hufanya hata mtu kuwa mkarimu kwako pale unapohitaji msaada wa jambo fulani, utakuwa umeonyesha uungwana. Ila uje race tu kama vile unayapita mawe, utakubali.