Unajua maana ya Stress wewe

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Kuna watu wananishangaza sana. Wakichoka kidogo utawasikia, eti oooh Leo nina stress sana... Hivi unajua maana ya Stress? Ngoja Leo nikwambie.

Imagine umekutana na Demu mkali njiani ukaamua kumpa lift kwenye ndinga yako, mara demu anazimia akiwa kwenye gari. Unaamua kumpeleka hospitali, unapofika daktari anakwambia yule demu ni mjamzitona anakupa hongera, unamwambia daktari kwamba mimba sio yangu ila baada ya demu kuzinduka anamwambia daktari ile mimba ni yako, unashangaa! Hapo unakuwa ushapata Stress.

Mnaamua kupima DNA, lakini wakati ikiendelea daktari anakuchukua vipimo na kukwambia yule mtoto sio wako, unafurahi. Lakini daktari anamalizia kwa kusema kwamba "Yule mtoto sio Wako kwa sababu huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba, "kwa kifupi we ni Tasa''. Baada yaIle stress ya kwanza unakuwa umeongezewa Stress ya pili.

Wakati unatafakari maneno ya daktari, unakumbuka nyumbani kuwa una watoto wawili na mke, kwahiyo inawezekana wale watoto mke wako alikuzingua, Sio wako. Sasa nani ni Baba Yao? Mwanaume unapata Stress juu ya Stress. Sasa hii ndo maana kamili ya Stress.
 
hapo mwishoni mkuu hauja weka vizuri
stress juu ya stress Mara stress unapata stress moja kwa hiyo jamaa alikuwa na stres moja

((stress/stress) ×stress) = one stress

mkuu hii one stress inaondoka kwa kuutumia msemo wa kitanda hakizai haramu

Over...
 
Hahaha dah sawa bhana
 
bora umeelezea maana ya stress maana siku hiz wanamiss use kweli hili neno, jambo dogo tu utasikia usinipe stress.
 
Stress cha mtoto achana na kitu inaitwa frustration.
hii frustation inakuja pale unapodaiwa au umeiba ukapelekwa mahakaman ukakosa dhamana ukarudishwa segerea.waulize jamaa wa stanbic wakueleze zaid khs frustratio
 
Hapo kuna vitu vichache dr akimaliza stress yke unaweza ukaaga kabisa...
Dr - Pia tumekukuta na Ugonjwa Ukimwi kereuwii "chalii"
 
Lift ikazaa kwenda kupima DNA? Hayo yote ya nn kwani? Si mnaachana kama mlivyokutanaa. Hii nayo siteresiiiii nyingine atiiiii
 
Asanteeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…