Unaifahamu ndege KUBWA kuliko zote hapa duniani kwetu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,316
50,523
Inaitwa Antonov An-225 Mriya ndege hili anasimama kama bingwa asiyepingwa Kwa ukubwa ni ndege toka Urusi ndege la mizigo.

Kwa bahati mbaya sana aliangamizwa kwenye vita vya Ukraine 2022. Ikiwa na uzito wa kustaajabisha wa kuruka wa tani 640 (pauni 1,400,000) na urefu wa mabawa unaonyoosha mita 88.4 (futi 290), yaani maanake yake mabawa yake ni karibia viwanja viwili vya mpira.

5e95da1e15ea4b55204bbb85.png
 
Back
Top Bottom