Unahitaji Huduma ya Aluminium na UPVC?

May 3, 2022
9
25
Tunapenda kuwakaribisha wateja wote wenye mahitaji ya kazi za aluminium na upvc, kufanya kazi nasi.

Tuna mafundi bora wenye uzoefu na weledi wa kazi, tunafanya kazi kwa uaminifu kwa kuzingatia ubora na muda tuliokubaliana na mteja. Tunashauriana na mteja ili kuweza kupata kilicho bora zaidi.

Tunatengeza na kufunga madirisha, milango, kugawa ofisi(office partition), Frame za biashara (za frame na frameless), balcony, makabati ya pharmacy, makabati ya jikon, shower enclosure n.k

Madirisha tunatengeza tunahakikisha yanalala vizuri ukutani ili kuzuia maji yanayochuruzika ukutani kipindi cha mvua yasiweze kuingia ndani, pia kwa madirisha ya kuslide tuweka wavu wa mbu kwa ustadi ambao pindi unafungua dirisha lako katikati hakitakua na uwazi wa ili kuzui mbu kuingia ndani.

Utofauti wa aluminium na upvc ni material, ambapo aluminium ni material ya metal na upvc ni material ya plastic ngumu. Hivyo inapelekea hata gharama zake kua tofauti, upvc ni gharama zaidi ya aluminium.

Nini kina amua gharama ya kazi?

Kwa Aluminium
1. Size ya profile inayotumika.
Aluminium profile zinazotumika kutengenezea madirisha kuna size ya 8cm na 10cm, hii inachangia kwenye utofauti wa gharama ya dirisha kulingana na size ya profile itakayotumika kwenye kazi.

2. Design ya inayopendekezwa.
Madirisha ya aluminium yana design

a. Sliding Single glass design
Hii inakua na kioo kimoja, ni design ya kawaida

b.sliding double glass design
Hii inakua na vioo viwili, na urembo(maua) katikati ya vioo hivyo

c. Open window system
Hii inafunguka kama mlango, aidha upande mmoja kwenda mwingine au chini kwenda juu.

d.Draft design (french style)
Hii design inakua na draft kwenye vioo vya kuslide.

3.Rangi ya profile inayotumika
Profile za rangi nyeupe, gray na bronze bei zake ni sawa.
Profile za rangi brown (wooden) na nyeusi bei zake zipo juu zaidi ya rangi nyeupe,gray na bronze.

Kwa UPVC
UPVC mambo yanasababisha utofauti wa gharama sawa kama tulizoziona hapo juu kwenye aluminium, ila upvc kwenye rangi, profile ya rangi ya gray na brown (wooden) ni ghali zaidi ya profile nyeupe.

Gharama za milango

Kwa Aluminium
Aluminium kuna milango inayoweka pvc board, kioo, alucobond (aluminium) board.
Hivyo gharama itategemea mteja anahitaji kuweka vipi kati ya hivyo

Kwa UPVC
Milango ya upvc kuna inayowekwa board, kioo na special board, gharama zake nazo ni tofauti.

Je, utawezaje kupata gharama kazi yako ya madirisha mwenyewe?

Iko hivi tafuta fundi akupimie size ya madirisha yako upana na urefu, vipimo atakavyokupatia viwe aidha kwenye sentimita (cm) au milimita(mm).

mfano dirisha lako lina upana(W) 150cm na urefu (H) wa 180cm.

Cha kufanya:
(upana÷100) x (urefu÷100)
(150÷ 100) x (180÷100)
1.5 x 1.8= 2.7

Hii 2.7 ndio itakua square meter ya dirisha lako.
hivyo unachukua 2.7 unazidisha na gharama ya fundi anayocharge kwa square meter.

Mfano mimi ninacharge 130,000/= kwa square meter, dirisha la aluminium la 8cm ambalo halina urembo.

Hivyo kwa vipimo vya 150cm kwa 180cm ambayo square meter yake ni 2.7

Gharama ya dirisha hilo itakua
2.7x 130,000 = 351,000/= hii ndio itakua gharama ya dirisha lako.

Na kama vipimo vyako vitakua kwenye milimita(mm), mfano upana 1500mm na urefu 1800mm.

Utafanya hivi
(1500÷1000) x (1800÷1000)
1.5 x 1.8= 2.7 alafu utaendelea kama mfano wa hapo juu.

Karibu ujenge nasi kwa kazi bora za aluminium na upvc.

𝐁𝐞𝐢 𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐚𝐥𝐮𝐦𝐢𝐧𝐢𝐮𝐦 𝟖𝐜𝐦 𝐰𝐡𝐢𝐭𝐞 𝐩𝐫𝐨𝐟𝐢𝐥𝐞
🔸 single glass Tsh 130,000/= kwa square meter
🔸double glass Tsh 180,000/= kwa square meter

𝐁𝐞𝐢 𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐚𝐥𝐮𝐦𝐢𝐧𝐢𝐮𝐦 𝟏𝟎𝐜𝐦 𝐰𝐡𝐢𝐭𝐞 𝐩𝐫𝐨𝐟𝐢𝐥𝐞.
🔸 single glass Tsh 190,000/= kwa square meter.
🔸double glass Tsh 250,000/= kwa square meter.

𝐌𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐔𝐏𝐕𝐂 𝐰𝐡𝐢𝐭𝐞
🔸Single glass 230,000/= kwa square meter.
🔸Double glass 290,000/=kwa square meter.

𝐌𝐢𝐥𝐚𝐧𝐠𝐨 𝐲𝐚 𝐚𝐥𝐮𝐦𝐢𝐧𝐢𝐮𝐦
🔸Inayotumia pvc board tupu 270,000/=
🔸Inayotumia kioo tupu 320,000/=
🔸Inayotumia alucobond 360,000/=

𝐌𝐢𝐥𝐚𝐧𝐠𝐨 𝐲𝐚 𝐔𝐏𝐕𝐂 𝐰𝐡𝐢𝐭𝐞 :
🔸Inayotumia board na kioo tupu 460,000/=
🔸Inayotumia special board 780,000/=

tunapatikana dar tegeta kwa ndevu, tunasafiri kufanyakazi mikoa yote.

Mawasiliano:
0717100052(WhatsApp/telegram)

IMG_20231114_123814_718.jpg
IMG_20231114_123904_217.jpg
IMG_20240125_174244_344.jpg
IMG_20240316_143648_562.jpg
IMG-20240421-WA0005.jpg
FB_IMG_1699167301736.jpg
IMG-20240414-WA0004.jpg
084b467a75d44b37b90bbc15af23e4f1.jpg
484e450e63ae4e7db9ff7963b43dfc20.jpg
9b3cbc8bfa08457d8f7c06947a61adeb.jpg
FB_IMG_1699114018738.jpg
FB_IMG_1696141650409.jpg

IMG-20240320-WA0001.jpg

13bb8c0f4d004766b162846b734fbefd.jpg
IMG-20231228-WA0006.jpg
IMG_20240125_174217_492.jpg
 
Tunapenda kuwakaribisha wateja wote wenye mahitaji ya kazi za aluminium na upvc, kufanya kazi nasi.

Tuna mafundi bora wenye uzoefu na weledi wa kazi, tunafanya kazi kwa uaminifu kwa kuzingatia ubora na muda tuliokubaliana na mteja. Tunashauriana na mteja ili kuweza kupata kilicho bora zaidi.

Tunatengeza na kufunga madirisha, milango, kugawa ofisi(office partition), Frame za biashara (za frame na frameless), balcony, makabati ya pharmacy, makabati ya jikon, shower enclosure n.k

Madirisha tunatengeza tunahakikisha yanalala vizuri ukutani ili kuzuia maji yanayochuruzika ukutani kipindi cha mvua yasiweze kuingia ndani, pia kwa madirisha ya kuslide tuweka wavu wa mbu kwa ustadi ambao pindi unafungua dirisha lako katikati hakitakua na uwazi wa ili kuzui mbu kuingia ndani.

Utofauti wa aluminium na upvc ni material, ambapo aluminium ni material ya metal na upvc ni material ya plastic ngumu. Hivyo inapelekea hata gharama zake kua tofauti, upvc ni gharama zaidi ya aluminium.

Nini kina amua gharama ya kazi?

Kwa Aluminium
1. Size ya profile inayotumika.
Aluminium profile zinazotumika kutengenezea madirisha kuna size ya 8cm na 10cm, hii inachangia kwenye utofauti wa gharama ya dirisha kulingana na size ya profile itakayotumika kwenye kazi.

2. Design ya inayopendekezwa.
Madirisha ya aluminium yana design

a. Sliding Single glass design
Hii inakua na kioo kimoja, ni design ya kawaida

b.sliding double glass design
Hii inakua na vioo viwili, na urembo(maua) katikati ya vioo hivyo

c. Open window system
Hii inafunguka kama mlango, aidha upande mmoja kwenda mwingine au chini kwenda juu.

d.Draft design (french style)
Hii design inakua na draft kwenye vioo vya kuslide.

3.Rangi ya profile inayotumika
Profile za rangi nyeupe, gray na bronze bei zake ni sawa.
Profile za rangi brown (wooden) na nyeusi bei zake zipo juu zaidi ya rangi nyeupe,gray na bronze.

Kwa UPVC
UPVC mambo yanasababisha utofauti wa gharama sawa kama tulizoziona hapo juu kwenye aluminium, ila upvc kwenye rangi, profile ya rangi ya gray na brown (wooden) ni ghali zaidi ya profile nyeupe.

Gharama za milango

Kwa Aluminium
Aluminium kuna milango inayoweka pvc board, kioo, alucobond (aluminium) board.
Hivyo gharama itategemea mteja anahitaji kuweka vipi kati ya hivyo

Kwa UPVC
Milango ya upvc kuna inayowekwa board, kioo na special board, gharama zake nazo ni tofauti.

Je, utawezaje kupata gharama kazi yako ya madirisha mwenyewe?

Iko hivi tafuta fundi akupimie size ya madirisha yako upana na urefu, vipimo atakavyokupatia viwe aidha kwenye sentimita (cm) au milimita(mm).

mfano dirisha lako lina upana(W) 150cm na urefu (H) wa 180cm.

Cha kufanya:
(upana÷100) x (urefu÷100)
(150÷ 100) x (180÷100)
1.5 x 1.8= 2.7

Hii 2.7 ndio itakua square meter ya dirisha lako.
hivyo unachukua 2.7 unazidisha na gharama ya fundi anayocharge kwa square meter.

Mfano mimi ninacharge 130,000/= kwa square meter, dirisha la aluminium la 8cm ambalo halina urembo.

Hivyo kwa vipimo vya 150cm kwa 180cm ambayo square meter yake ni 2.7

Gharama ya dirisha hilo itakua
2.7x 130,000 = 351,000/= hii ndio itakua gharama ya dirisha lako.

Na kama vipimo vyako vitakua kwenye milimita(mm), mfano upana 1500mm na urefu 1800mm.

Utafanya hivi
(1500÷1000) x (1800÷1000)
1.5 x 1.8= 2.7 alafu utaendelea kama mfano wa hapo juu.

Karibu ujenge nasi kwa kazi bora za aluminium na upvc.

𝐁𝐞𝐢 𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐚𝐥𝐮𝐦𝐢𝐧𝐢𝐮𝐦 𝟖𝐜𝐦 𝐰𝐡𝐢𝐭𝐞 𝐩𝐫𝐨𝐟𝐢𝐥𝐞
🔸 single glass Tsh 130,000/= kwa square meter
🔸double glass Tsh 180,000/= kwa square meter

𝐁𝐞𝐢 𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐚𝐥𝐮𝐦𝐢𝐧𝐢𝐮𝐦 𝟏𝟎𝐜𝐦 𝐰𝐡𝐢𝐭𝐞 𝐩𝐫𝐨𝐟𝐢𝐥𝐞.
🔸 single glass Tsh 190,000/= kwa square meter.
🔸double glass Tsh 250,000/= kwa square meter.

𝐌𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐔𝐏𝐕𝐂 𝐰𝐡𝐢𝐭𝐞
🔸Single glass 230,000/= kwa square meter.
🔸Double glass 290,000/=kwa square meter.

𝐌𝐢𝐥𝐚𝐧𝐠𝐨 𝐲𝐚 𝐚𝐥𝐮𝐦𝐢𝐧𝐢𝐮𝐦
🔸Inayotumia pvc board tupu 270,000/=
🔸Inayotumia kioo tupu 320,000/=
🔸Inayotumia alucobond 360,000/=

𝐌𝐢𝐥𝐚𝐧𝐠𝐨 𝐲𝐚 𝐔𝐏𝐕𝐂 𝐰𝐡𝐢𝐭𝐞 :
🔸Inayotumia board na kioo tupu 460,000/=
🔸Inayotumia special board 780,000/=

tunapatikana dar tegeta kwa ndevu, tunasafiri kufanyakazi mikoa yote.

Mawasiliano:
0717100052(WhatsApp/telegram)

View attachment 2971153View attachment 2971154View attachment 2971156View attachment 2971161View attachment 2971163View attachment 2971172View attachment 2971173View attachment 2971174View attachment 2971176View attachment 2971179View attachment 2971181View attachment 2971182
View attachment 2971171
View attachment 2971184View attachment 2971188View attachment 2971155
Good job
 
Umefafanua kitaaram sana
 
Kama huu bei gani
13bb8c0f4d004766b162846b734fbefd.jpg
 
Mkuu kwenye hii industru yenu zipo bidhaa fake pia?.
Hii kitu inayoitwa Emirati na LN ni kitu gani?
Bidhaa zinatofautiana composition aluminium iliyotumika kutengenezea product, muonekano wa rangi na uzito wa bidhaa

Emirae ni kampuni ya bidhaa za aluminium ya kitanzania ila product zake zinatengenezewa china,
LN nayo ni kampuni ya bidhaa za aluminium ambayo bidhaa zake zinatengenezewa hapahapa nchini.
 
Back
Top Bottom