● Anapekuapekua simu yake
● Amejichomeka visikiliza masikio (earphone) anasikiza mambo mengine
● Nayeye anaongea na mtu mwingine
● Anakuongelesha wakati hujamaliza kuongea (wewe unaongea na yeye anaongea mudab huohuo)
● Anaangalia upande mwingine kabisa