johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,689
Kama umesahau ngoja nikukumbushe
Akiwa Makamu wa Rais Dr Samia alikwenda Nairobi hospital kumtamkia Tundu Lisu Baraka za uponyaji. Dr Samia ni Kiongozi pekee wa ngazi ya Juu aliyekuwa madarakani kwenda kumsalimia Lisu Hospital
Pili Rais Samia akiwa Ubelgiji alikwenda kukutana na Tundu Lisu na kumtamkia Baraka za kurejea nyumbani na Ishara ikawa kumrejeshea Passport
Tatu, akiwa Kizimkazi Rais Samia alimtamkia Tundu Antipas Lisu Baraka za Kifalme kwa kumuita Simba wa Kizimkazi
Ikumbukwe Yesu Kristo anuani yake pale Golgotha iliandikwa " Yesu wa Nazareth Mfalme wa Wayahudi" na ifahamike huyu Yesu Kristo alitambulika kama Simba wa Mji wa Yuda, Mji wa Mfalme Daudi
Je, kwa nabii Hizi Tundu Antipas Lisu ndiye mrithi wa Rais Samia 2030?
Kirohoni zaidi hapa Hakunaga ndumba za Nzega vijijini 😂
Mlale Unono