Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 27,918
- 27,142
Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania