A Agera 1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 4,087 4,222 May 13, 2016 #1 Unable to find a bootable option, kuna mwenye tatizo kwa window phone yake kuandika hivyo?
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,519 42,084 May 13, 2016 #2 unatumia developer version/insider?
A Agera 1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 4,087 4,222 May 13, 2016 Thread starter #3 daa sijui ata ila ni windows 8.1 denim
A Agera 1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 4,087 4,222 May 13, 2016 Thread starter #5 yan ikiwaka inaishia hapo haiendelei
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,519 42,084 May 14, 2016 #6 Eminentia said: yan ikiwaka inaishia hapo haiendelei Click to expand... jaribu ku soft reset kwanza ikikataa hard reset ikikataa tumia windows device recovery tool kuinstall upya firmware. How to soft- and hard reset your Windows Phone
Eminentia said: yan ikiwaka inaishia hapo haiendelei Click to expand... jaribu ku soft reset kwanza ikikataa hard reset ikikataa tumia windows device recovery tool kuinstall upya firmware. How to soft- and hard reset your Windows Phone
A Agera 1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 4,087 4,222 May 14, 2016 Thread starter #7 Chief-Mkwawa said: jaribu ku soft reset kwanza ikikataa hard reset ikikataa tumia windows device recovery tool kuinstall upya firmware. How to soft- and hard reset your Windows Phone Click to expand... hivi kutumia hyo window device recovery tool ni mpaka ufix ukiwa online
Chief-Mkwawa said: jaribu ku soft reset kwanza ikikataa hard reset ikikataa tumia windows device recovery tool kuinstall upya firmware. How to soft- and hard reset your Windows Phone Click to expand... hivi kutumia hyo window device recovery tool ni mpaka ufix ukiwa online
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,519 42,084 May 14, 2016 #8 Eminentia said: hivi kutumia hyo window device recovery tool ni mpaka ufix ukiwa online Click to expand... online inaenda kudownload rom tu, itabidi uwe na bundle ya kutosha kama 2gb hivi. uzuri wa hio tool kila kitu inafanya yenyewe we unaianzisha unaendelea na mambo yako. pia ikishadownload rom mara moja mara ya pili na kuendelea haitadownload hivyo siku za baadae simu ikipata matatizo utairudisha mara moja
Eminentia said: hivi kutumia hyo window device recovery tool ni mpaka ufix ukiwa online Click to expand... online inaenda kudownload rom tu, itabidi uwe na bundle ya kutosha kama 2gb hivi. uzuri wa hio tool kila kitu inafanya yenyewe we unaianzisha unaendelea na mambo yako. pia ikishadownload rom mara moja mara ya pili na kuendelea haitadownload hivyo siku za baadae simu ikipata matatizo utairudisha mara moja
A Agera 1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 4,087 4,222 May 15, 2016 Thread starter #9 shukran mkuu hizo nyingne hazikubal hapa naona had ni fix kwa hiyo window device recovery tool. hapa nachelewa kwa ajil pc cna had nitafute
shukran mkuu hizo nyingne hazikubal hapa naona had ni fix kwa hiyo window device recovery tool. hapa nachelewa kwa ajil pc cna had nitafute