Una simu ya mkopo unahitaji tutoe hizo lock utumie kwa uhuru??

Na flash simu zilizo na lock kila aina ya simu kasoro iPhone tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bolivia,

Wewe ni mpambanaji lakini hapa hukufikiri.
Mimi tu naomba nikushauri ondoa huu uzi sababu mpaka sasa kufikika kwako na kukamatwa ni jambo jepesi sana.
Watu wapo wanafanya biashara ila upo kwa ajili ya kupingana nao.

vijana wapo ila huwa wanafanya kimya, mkuu hili jambo ulifikiri kabla ya kuandika hapa?

Ni ushauri tu.
 
muache wezi wenzake tutampeleka uji stakshari.
 
Kitendo cha kubadir firmware au IMEI ni kosa kisharia na adhabu yake sio chini ya mil 5 na kifungo juu.

Hata wale wanaojitangaza kuwa wanaflash simu na kutoa lock hawajui tu walitendalo.. na hata hivyo TCRA wanakamata baadhi wa mfano.

Au hata polisi wakiwa na njaa wanapitia pitia kuwatetemesha au itokee simu ya wizi ukaichokonoa.. au simu yenye ushahidi wa kesi za mauaji etc ww ukaichokonoa na kufuta ushahidi lazima wakulambe tako.
 
Atapelekewa simu ya ku flash na afande, (amevaa kiraia) akiwa na pingu mfuko wa nyuma, ndo atajua hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…