bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,064
- 5,137
Unawaita wale wa Tigo na voda et
Siyo kununua maana yawezekana mtaji hana, inabidi akope kabisa azitekenye apige faida asichezee fursaKwa nini usinunue nyingi ukazitekenya halafu uziuze kwa bei ya juu
Kwahiyo utaflash na namba ya NIDA uliyotumia kusajiri mkopo? Na uzingatie kwa kipindi hicho unatumia hiyo simu inaonyesha mahali unapoishi! Watakuja hadi mlangoni! Ogopa technolojia!
Kama upo dar nicheki tu hakn kitu kigumu mkuuNina Samsung edge9+.
Mtu alitoka nayo mahali akasahau kuifungua. Unaweza kuifungua ili niitumie hapa Bongo? Utanichaji sh. ngapi?
Mkuu bolivia,
muache wezi wenzake tutampeleka uji stakshari.Mkuu bolivia,
Wewe ni mpambanaji lakini hapa hukufikiri.
Mimi tu naomba nikushauri ondoa huu uzi sababu mpaka sasa kufikika kwako na kukamatwa ni jambo jepesi sana.
Watu wapo wanafanya biashara ila upo kwa ajili ya kupingana nao.
vijana wapo ila huwa wanafanya kimya, mkuu hili jambo ulifikiri kabla ya kuandika hapa?
Ni ushauri tu.
DuhDawa ya Deni kulipa.
PambanaZaidi/CottonandMore
Atapelekewa simu ya ku flash na afande, (amevaa kiraia) akiwa na pingu mfuko wa nyuma, ndo atajua hajuiMkuu bolivia,
Wewe ni mpambanaji lakini hapa hukufikiri.
Mimi tu naomba nikushauri ondoa huu uzi sababu mpaka sasa kufikika kwako na kukamatwa ni jambo jepesi sana.
Watu wapo wanafanya biashara ila upo kwa ajili ya kupingana nao.
vijana wapo ila huwa wanafanya kimya, mkuu hili jambo ulifikiri kabla ya kuandika hapa?
Ni ushauri tu.
Ili iweje sasa mkuu!!!?