Una sherehe; harusi, send-off, bag party, ubarikio, dhifa za kiserikali nk

Mcheza Viduku

JF-Expert Member
Jun 24, 2020
1,087
2,664
Nitafute sasa, naitwa Mc Paul tunapatikana Mwanza mjini, tunatoa huduma ya Muziki na MC kwenye sherehe mbalimbali kama vile;

~Harusi
~Send-off
~Bag party
~Ubarikio
~Dhifa za kiserikali nk.

Pia tunatoa huduma ya gari za matangazo ya barabarani (PA System), Matarumbeta, Grooms men na Grooms lady, kuprint banners, kadi, tisheti za vyama, taasisi na matukio mengineyo hususani misiba.

Unalipa Advance kwa maandishi, usipokubaliana/pendezwa na kazi yetu hautamalizia pesa iliyobaki

NB:- POPOTE ULIPO TUTAKUFIKIA NA KUKUHUDUMIA

0754976727
0784976726
 
Back
Top Bottom