Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,612
Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.
Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini.
Unachangia mabenki asilimia 16 kwa mwaka ambayo ni asilimia 80 ya pesa yako unayoipata kwa shida katika miaka mitano. Benki zinanufaika kwa ujinga wa watu wengi.
Kwanini wewe usihifadhi hata UTT shilingi laki 3 kwa mwezi? Kwa mwaka utakuwa na 3.6m na miaka mitano itakuwa 18m, tena hapo bila kuweka faida yake.