Mwambie tunamsubiri afikie stage ya kama wenzake halafu tutajikusanya,tutasononeka na kujichanga aende Rehab..huku tukisikitika sana kwa sababu tunajua sio yeye ni shetani tu kampitia!
Huyu dogo role model wake ni Young Money Lil Wayne...so anajitahd kuishi maisha kama ya jamaa wakat anapotea.Inasemekana na Unga anatumia.... Mmh,ajitambue anafupisha maisha yake.
Wako wengi duniani wanateseka hatuwaonei huruma Sembuse huyu msanii ana pesa afu anajiumiza mwenyewe
Kwenda zake Mwache afanye maisha yake
Kupoteza yoyote ndio kujifunza
Ni bangi tu hio mbona kawaida tu, akili zajo zikiwa fupi haijutaki kila ukiona unavuta unaenjoy bac akili yako inaweza kuhandle, nadhani mshajua jibu kwanini wazungu hawachanganyikiwi kila baadhi ya wafrika wanadata
Hiko kitovu ukikiangalia kwa haraka unaweza sema ni jicho
Ila kwa maoni yangu aongeze juhudi na kubeba nondo,maana kwa kifua alichonacho asidiriki kuvua shati jukwaani.
YNWA
Niliona siku moja akihojiwa EATV anaulizwa maharage anajibu sukari ni kama mtu aliyechanganyikiwa naona huruma sana maana ni bado mtoto mdogo sana
Na ukimfuata ukamwambia ana tatizo atakataa na atasema mbona nipo poa tu
Mpaka aharibikiwe kabisa
Cyo kwamba labda pengine kampan alizonazo karibu ndo SOURCE....!?? Maana mbona imekua ghafla tu kuonekana haoni aibu mpaka kupost pic km hyo kwenye Social network...wakat hakua hvyo before.