AiseeUsiganganye watu.
1. Hakuna bingwa wa kubeti kwa ni kila timu inayoingia kwenye mchezo inataka kushinda ama kutoshindwa (bila kujali odd zilizotolewa)
2. Hana timu dhaifu kwani matokeo haumuliwa na dakika tisini hivyo usiidharau sana timu ukaishiwa kuliwa hela zako ( kama unataka majibu kama ulivyobeti nenda kwenye hizo timu ukacheze wewe ulazimishe matokeo utakavyo)
3. Suala la kubeti timu chaeche ama nyingi risk ya kuliwa ipo pale pale
4.Unapobeti timu chache maana yake odd nazo ni chache kwa maana nyingine lazima uweke hela kubwa , na haimaanishi kwa kuwa umeweka hata timu moja basi hutoliwa
5. Mfano wa timu 3 za over 2.5 ulizocheza kwa 30,000/= nikiangalia odd zake hazizidi hata 7 na ni moja wapo ya option ambayo ina risk kubwa sana kupotea, ukirudia tena hata mara 10 yamkini ukabahatisha mara 1 tuu, na ndio chance uliyokutana nayo na usijione bingwa sana
6. Tofauti ya mtu anayebeti timu nyingi na chache ni kwamba yule anaye beti timu chache anapoteza fedha nyingi sana katika ku bet na kama ni mfanya biashara jiandae kufilisika, lakini huyo anayebiti timu nyingi anakusanya odd nyingi kwa hela kidogo na akibahatisha mara moja hata kwa miaka 5 anakuwa ametoka kama wewe ulivyobahatisha hiyo perfect 12
7.Huu ni moja kati ya mchezo hatari sana na ningekuwa na mamalaka ningefukuza makampuni yote ya kubeti na kufungia mitandao yote ya online betting Tanzania kwa kuwa inazalisha Taifa maskini, watu hawataki kufanya kazi wanatarajia miujiza, wanafunzi wanaliwa ada, wazazi wanaliwa hela za kutunza familia, wafanyabiashara wanafilisika, watumishi wa Umma hawaridhiki na mishahara kwani wanazipeleka huko, watu hawafanyi kazi ngumu kutwa kucha wanatembea na vikaratasi mfukoni,
8. Bunge lipiteshe sheria ya dharura kuzuia mchzo huu haramu ambao unashusha thamani ya shilingi kwa kasi, sijui wachumi wako wapi, sijui wizara ya fedha inasema nini kuhusu hili, hali ni mbaya zaidi ya maelezo, kampuni zinazidi kuongezeka bongo kuja kuchota hela za bure, kwa siku watu wanaliwa zaidi ya bilioni moja na mshindi wa kupata kama ulizozipata waweza kupata baada ya miezi hata minne.
9. Say no to betting
Bora niache Pombe kuliko kiacha KuBet yaaani ninavyopenda kuBet siwezi kuacha.Usiganganye watu.

Hapana aisee huwezMimi hata siwaelewi wala nini?? Hivi Kama hufuatilii mpira unaweza ukabet na ukashinda kweli?
Unahitaji kupelekwa rehabu (sobber house) umeshakuwa adicted kama watanzania wengi walivyo na hawajui hilo, wanaishi kwa matumaini tuu, labda kesho nitapata , leo mechi moja tuu imegoma n.k, siku zinasonga na unaendelea kupoteza fedha, mipango yako yoote ya maana imesimama.Bora niache Pombe kuliko kiacha KuBet yaaani ninavyopenda kuBet siwezi kuacha.
To be honest mkuu hii betting imenisaidia mengi sana katika maisha yangu na ni moja ya njia zangu za kupata pesa. So kama niko addicted na kupata pesa hakuna haja ya kwenda rehab...Betting ni miongoni mwa system ya kujipatia pesa na mimi nimeifanya kama moja ya Biashara zangu so mambo yanaenda vizuri sioni madhara yake... Akili inahitajika katika kufanya jambo lolote linalohusu pesa mkuu Kama ukikurupuka Hata ukifunguwa biashara inayo fika mtaji wa 100mil kama huna plan nzuri na hauja focus utafilisika tu. Is just a matter of how you plan to get profit and nothing else mkuu.Unahitaji kupelekwa rehabu (sobber house) umeshakuwa adicted kama watanzania wengi walivyo na hawajui hilo, wanaishi kwa matumaini tuu, labda kesho nitapata , leo mechi moja tuu imegoma n.k, siku zinasonga na unaendelea kupoteza fedha, mipango yako yoote ya maana imesimama.
Unatunza hesabu ya kila unachotumia na kukipata katika mchezo huo???To be honest mkuu hii betting imenisaidia mengi sana katika maisha yangu na ni moja ya njia zangu za kupata pesa. So kama niko addicted na kupata pesa hakuna haja ya kwenda rehab...Betting ni miongoni mwa system ya kujipatia pesa na mimi nimeifanya kama moja ya Biashara zangu so mambo yanaenda vizuri sioni madhara yake... Akili inahitajika katika kufanya jambo lolote linalohusu pesa mkuu Kama ukikurupuka Hata ukifunguwa biashara inayo fika mtaji wa 100mil kama huna plan nzuri na hauja focus utafilisika tu. Is just a matter of how you plan to get profit and nothing else mkuu.
Wengine ndo kaz yetu tumeacha madawa ya kulevya kwa ajil ya kubetUsiganganye watu.
1. Hakuna bingwa wa kubeti kwa ni kila timu inayoingia kwenye mchezo inataka kushinda ama kutoshindwa (bila kujali odd zilizotolewa)
2. Hana timu dhaifu kwani matokeo haumuliwa na dakika tisini hivyo usiidharau sana timu ukaishiwa kuliwa hela zako ( kama unataka majibu kama ulivyobeti nenda kwenye hizo timu ukacheze wewe ulazimishe matokeo utakavyo)
3. Suala la kubeti timu chaeche ama nyingi risk ya kuliwa ipo pale pale
4.Unapobeti timu chache maana yake odd nazo ni chache kwa maana nyingine lazima uweke hela kubwa , na haimaanishi kwa kuwa umeweka hata timu moja basi hutoliwa
5. Mfano wa timu 3 za over 2.5 ulizocheza kwa 30,000/= nikiangalia odd zake hazizidi hata 7 na ni moja wapo ya option ambayo ina risk kubwa sana kupotea, ukirudia tena hata mara 10 yamkini ukabahatisha mara 1 tuu, na ndio chance uliyokutana nayo na usijione bingwa sana
6. Tofauti ya mtu anayebeti timu nyingi na chache ni kwamba yule anaye beti timu chache anapoteza fedha nyingi sana katika ku bet na kama ni mfanya biashara jiandae kufilisika, lakini huyo anayebiti timu nyingi anakusanya odd nyingi kwa hela kidogo na akibahatisha mara moja hata kwa miaka 5 anakuwa ametoka kama wewe ulivyobahatisha hiyo perfect 12
7.Huu ni moja kati ya mchezo hatari sana na ningekuwa na mamalaka ningefukuza makampuni yote ya kubeti na kufungia mitandao yote ya online betting Tanzania kwa kuwa inazalisha Taifa maskini, watu hawataki kufanya kazi wanatarajia miujiza, wanafunzi wanaliwa ada, wazazi wanaliwa hela za kutunza familia, wafanyabiashara wanafilisika, watumishi wa Umma hawaridhiki na mishahara kwani wanazipeleka huko, watu hawafanyi kazi ngumu kutwa kucha wanatembea na vikaratasi mfukoni,
8. Bunge lipiteshe sheria ya dharura kuzuia mchzo huu haramu ambao unashusha thamani ya shilingi kwa kasi, sijui wachumi wako wapi, sijui wizara ya fedha inasema nini kuhusu hili, hali ni mbaya zaidi ya maelezo, kampuni zinazidi kuongezeka bongo kuja kuchota hela za bure, kwa siku watu wanaliwa zaidi ya bilioni moja na mshindi wa kupata kama ulizozipata waweza kupata baada ya miezi hata minne.
9. Say no to betting
Mkuu na wewe una bet?, nipe hints kama betting sites nzuri, jinsi ya kubet n.k, nataka nijiunge na hili chama teh!!Mbona kabla ya kushinda hujawahi kuleta mbwembwe