Umri wa uzee lazima uitwe mchawi au mwanga

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
5,771
14,664
Hii tabia ya kuwaita wazee ni wachawi au wanga haijaanza juzi ila imekuzwa na vijana kuona wazee ndio washiriki wa mambo hayo.

Je ukifika umri wa uzee na wewe utakubaliana kuitwa mwanga au mchawi.

Tukomeshe:

Cunwi0GXgAAxolX.jpeg
 
Ni ukosefu wa maadili, enzi zetu wazee waliheshimika sana kiasi cha kuonekana ni nusu mungu. Umri mkubwa uliwaheshimisha
 
Back
Top Bottom