Umri wa kujiunga na KK security wanachukua umri gani ? Kwenye ajira

mzee wa giningi

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
519
336
Napenda kuulizia kk security wanachukua kuanzia umri gani ? Nina umrefu wa futi 5.7 nimemaliza form four nina div 4(28)
 
G4S taratibu zake zipoje ? Mkuu
Peleka CV yako, watakupangia siku ya kufanya interview, kama kijana na una mazoezi upo fit na maneno mawili matatu ya kiingereza hayakupigi chenga una chance kubwa ya kupata mshahara mzuri na kupangiwa sehemu nzuri
 
Huwa wana kozi mkuu kabla ya kuajiriwa na kozi inachukua mda gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…