political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,973
Umoja wa Afrika umekataa mpango ya ECOWAS wa kuingilia kijeshi nchi ya Niger, na hivyo kuonyesha kutokubaliana na msimamo wa ECOWAS, kama ilivyoripotiwa na Le Monde.
Kwa mujibu wa chapisho hilo, wakati wa mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika tarehe 14 Agosti, iliamuliwa kutupilia mbali matumizi ya nguvu dhidi ya waasi nchini Niger.
Msimamo huu unatarajiwa kuthibitishwa rasmi katika taarifa inayokuja, kama ilivyoelezwa na Le Monde. "Kwa hivyo Umoja wa Afrika unaonyesha kutokubaliana kwake na ECOWAS, ambayo, inaona mazungumzo ya amani kuwa kipaumbele.
=====
African Union and ECOWAS at odds over intervention in Niger on eve of summit
A day ahead of a meeting of West African military chiefs to hammer out what a military intervention in Niger might look like, the African Union and the Economic Community of West African States (ECOWAS) appeared at odds over whether military action should be on the table.
France 24