Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 392
- 272
mkuu inamaana huyu mama usiku anavaa gwanda kucheza kiukawa?Peter Dafi "Diwani wa Nzega",teh teh teh chezea Ukawa wewe
eeehhh!!!!!!Hivi Ummy Mme wake nani vile?
Eeeeh!mkuu inamaana huyu mama usiku anavaa gwanda kucheza kiukawa?
hahahahha sipati picha!!! zile stupid wordsEeeeh!
hapana mkuu,Peter kijana wa Kigwangala CCM aligombea udiwani na dada wa UKAWA/chadema pale Nzega mjini,Peter alipigwa mweleka mbaya na dada wa Chademamkuu inamaana huyu mama usiku anavaa gwanda kucheza kiukawa?
nimekuelewa mkuuhapana mkuu,Peter kijana wa Kigwangala CCM aligombea udiwani na dada wa UKAWA/chadema pale Nzega mjini,Peter alipigwa mweleka mbaya na dada wa Chadema
Eeeeh, hebu mwaga ubuyu!Peter Dafi "Diwani wa Nzega",teh teh teh chezea Ukawa wewe
Huyu mama wakati ule akiwa waziri wa maendeleo ya jamii alitembelea kituo cha kulea yatima kinaitwa MALAIKA, kipo wilaya ya Mkuranga mjini. Wale watoto jamani walikuwa na shida ya mashuka, basi mh. Ummy kawaahidi kuwaletea mashuka ambayo mpaka leo hajatimiza ahadi hiyo.
Wee mama ahadi ni deni, wakumbuke yatima wale!
Mama au dada?Kweli hapa inabidi ukawa tuweke Silaha chini tumpe pole mama yetu maana ndiyo utamaduni wetu watanzania, tupo pamoja mama yetu ingawa tupo nje ya tanga pole sana
one love mkuuDuuu #Sunzu unambo sana ww lol..