Lycaon pictus JF-Expert Member Jan 31, 2021 8,526 15,054 Jan 6, 2023 #1 Kwa wenyeji wa pwani, umewahi kusikia mtu kafa kwa kuangukiwa na nazi?
Mpinzire JF-Expert Member Jan 18, 2013 7,437 13,354 Jan 6, 2023 #2 Nimeishi Mtwara na Lindi na nimewahi kusikia.
prumpeti JF-Expert Member Feb 28, 2022 1,023 2,307 Jan 6, 2023 #3 We unachukuliaje ugumu wa nazi na urefu wa huo mti mkuu unakufa safi tu..