Naomba namba yakoKutana nami sasa kwa ushauli na msaada zaidi...
Sawa ww ni fundi wa magari. Mimi ninatumia gari Toyota Land Cruiser (hardtot -1HZ 78) ina tatizo la gear namba tano haingii, imeshushwa gear box mara tatu kwa siku lakini tatizo liko pale pale nifanyeje??? ukiwa kama fundi.Tunarekebisha na kutengeneza gari aina zote kwa kuzingatia ubora na maitaji ya mteja wasiliana nasi kwa sim no. +255758277823