Umemsikia Makame wa E fm?

gstar

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
786
1,367
Huyu Makame jina lake na jinsi anavyo ongea anaonekana ni Mzanzibari.
Sasa jinsi wanavyo mweka wanamuonyesha kwamba ni mtu mshamba sana na wanamtengenezea uhusika wa kumdharaulisha sana.
Kwa maoni yangu naona hii haijakaa poa coz kuna watu hawatajisikia vizuri na wataona kama wanadhalilishwa especially wazanzibari.
Ushauriwangu kama inawezekana kichekesho hiki wakitoe au wabadilishe uhusika wa Makame ili isije ikaleta shida hapo baadae.
 
Ktk vitu alotuachia yule "Mzee" hatutamsahau, kuna hilo na lile dubwasha lingine kule!
 
Kila kitu muungano, hata kwenye mambo ya kawaida wanahusisha na muungano!!!""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…