Maswali Yangu Machache Ni Kwanini Umeme Ruangwa Unasumbua namna Hii?
Msema Kweli Mpenzi wa Mungu Mpaka sasa Leo hii Umeme Umekatika Zaidi ya Mara Tano Zima Washa Zimekua Kila Muda na sasa ni Zaidi ya Miezi Miwili Kumekua Na Tatizo Hili Tanesco Ruangwa Kulikoni?
Hivi Munaijua Hasara Inayopata Wateja Wenu Kuhusu Vifaa Vya Umeme Wanavyotumia?