Umeelewa nini kuhusu hii picha yangu

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
592
2,215
Sitawaambia ni nini kipo kwenye hii picha ila ww hapo mdau nakuuliza umeelewa nini?

Haya ndo maisha yetu hapa nawaza mpaka kichwa kinaniuma, mchana kutwa nimekaa tu sina kazi hata usiku pia,

Nadaiwa 50 hospitali mke wangu ameshindwa kusafishwa kidonda kisa 50 ambayo ningeweza tu kuipata ndani ya siku 3

JPEG_20240126_224020_7146518788335128379.jpg
 
Attachments

  • IMG_20240126_222852_2.jpg
    IMG_20240126_222852_2.jpg
    52.6 KB · Views: 3
Sitawaambia ni nini kipo kwenye hii picha ila ww hapo mdau nakuuliza umeelewa nini?

Haya ndo maisha yetu hapa nawaza mpaka kichwa kinaniuma, mchana kutwa nimekaa tu sina kazi hata usiku pia,

Nadaiwa 50 hospitali mke wangu ameshindwa kusafishwa kidonda kisa 50 ambayo ningeweza tu kuipata ndani ya siku 3View attachment 2883940

Wewe ni fundi electronics?

Naona kuna kitu kama TV (flat screen) iliyofunguliwa kioo chake na internal circuit...

Halafu Tanesco washauchukua umeme wao, inabidi kazi isimame...
 
Wewe ni fundi electronics?

Naona kuna kitu kama TV (flat screen) iliyofunguliwa kioo chake na internal circuit...

Halafu Tanesco washauchukua umeme wao, inabidi kazi isimame...
Acha tu mkuu yaani mchana kutwa tumekaa tu hata usiku nako itabidi tu tulale, maana sitaweza tena kufanya kazi kesho maana watarudisha saa 8 usiku na kuikata saa 11 bado tumelala na wanarudisha saa3 usiku
 
Maisha haya? Kuna watu wana neemeka na mgao wa umeme huku wengine wakishindwa kufanya kazi zao za kuwaingizia kipato walau kuhudumia wapendwa wao walio wagonjwa.
Hii picha inahuzunisha sana!
Nilikuwa nadaiwa laki na 50 hospital wife kajifungua kwa operation Sasa akalipa laki1 wakati amerudi kukaguliwa madokta wakakataa kumwangalizia kidonda chake mpaka apeleke hiyo hela hivo ikabidi tu arudi nyumbani,

Siwezi tena kupata hiyo pesa kwa sasa sababu ya hii Hali
 
Back
Top Bottom