juan de otaru
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 113
Wakiona kuna duka linauzwa hizo mechi na wao si wakanunue basi!!!???Binafsi nimetokea kushtuka Sana na mashabiki wa mikia fc,baada ya kuishiwa na kelele za yanga kubwebwa wamekuja na topic mpya yanga ananunua mechi,jamani ndo maana rage aliwapa Hilo jina,mbumbumbu.jengeni timu ,usajili wenye mantiki,umoja Tu utawarudisha kwenye ubora.#huumchezo hauitaji hasira
Umekaa na mkeo kibarazani anapita jirani yenu na gari mkeo anakwambia baba fulani jirani yetu kanunua gari sisi hatuna hata baiskeli unamjibu kirahisi tu majizi hayo yasikusumbue.Wakiona kuna duka linauzwa hizo mechi na wao si wakanunue basi!!!???
nimebaki nawashangaa Tu kiss mechi mbili tunaanza kufungwa Kisha tunashinda tethtehkwahiyo tulivyowapiga mbili walituuzia kwa bei gani
Au unaanza oooooh! Mke wangu yule jamaa ni mchawi ndio maana sisi hatufanikiwi! Badala ya kujituma na kuongeza bidii unaanza kumuonea wivu jirani yako.Umekaa na mkeo kibarazani anapita jirani yenu na gari mkeo anakwambia baba fulani jirani yetu kanunua gari sisi hatuna hata baiskeli unamjibu kirahisi tu majizi hayo yasikusumbue.
Umepita mulemule.Au unaanza oooooh! Mke wangu yule jamaa ni mchawi ndio maana sisi hatufanikiwi! Badala ya kujituma na kuongeza bidii unaanza kumuonea wivu jirani yako.
Shenzi kwelilweli yani.Au unaanza oooooh! Mke wangu yule jamaa ni mchawi ndio maana sisi hatufanikiwi! Badala ya kujituma na kuongeza bidii unaanza kumuonea wivu jirani yako.
nitajie ubora WA simba kwa sasaNyie mashabiki wa Vyura fc.. a.k.a Jecha team.. acheni majungu nyie. . Simba ndo timu bora Tanzania. . mko na midomo kama wake wenza bana! ebo! ??
mikia SI mnachonga Sana yanga kuwa bingwa,Leo mmetuachia gap kuubwa kesho mtasema ubingwa WA kupanga,mikia losersVyura kwa midomo