SoC04 Umaskini wa bara la Afrika

Tanzania Tuitakayo competition threads

Daudi kambona

Member
May 21, 2023
7
3
Africa Ni bara tajiri MUNGU amelipa Mali nyingi but still bado Ni maskini. Tuliosoma darasani sababu za bara hili kua maskini kwa mtazamo wangu sio kweli .Tujiulize yafuatayo.

Nikweli Africa haina miundo mbinu, nikweli Africa haina raslimali watu, hivi nikweli hatuna viongozi sahihi n.k ukiangalia vizuri hoja zote tulizosoma darasani hizo nyingi Africa inazo but still ni maskini. Kuna kitu kinaitwa maendeleo na Kuna kitu kinaitwa utajiri

Ethiopia Ni endelevu but siyo tajiri. kwenye mafanikio yoyote Kuna kitu kinaitwa blessings yaani nawambia hiki ndicho bara la Africa halina sasa halina kivipi. Hiki kitu spiritual vision ndicho viongozi wa Africa hawana iko hivi haiwezekani bara la Africa MUNGU amelijaza Mali zote hizo lakini hata kumpa tu shukurani aliyetupa vitu hivi hakuna watu wanachua tu vzuri bila shida lakini huyo MUNGU aliye umba vitu hivyo hata kg1 ya dhahabu hakuna shukurani hakuna hakuna ambacho BWANA amepata kwenye bara la Africa afu unataka muwe tajiri tz someni historia ya mataifa yote tajiri hakuna taifa lililoendelea bila blessings mataifa mengi yaliyopita kwenye mikono ya mwisrael ndo yenye mafanikio yote, Africa jiulize ulimfanya Nini Israel ndo utapata majibu ya UMASKINI wako Ni Mambo mawili tu amlaaniye Israel amelaaniwa akubarikiye amebarikiwa, kupitia uzao wa Ibrahim mataifa yote yatabarikiwa hapo ndipo Africa ilipokwama haina "spiritual blessings" thanks.
 
MUNGU amelijaza Mali zote hizo lakini hata kumpa tu shukurani aliyetupa vitu hivi hakuna watu wanachua tu vzuri bila shida lakini huyo MUNGU aliye umba vitu hivyo hata kg1 ya dhahabu hakuna shukurani hakuna hakuna ambacho BWANA amepata kwenye bara la Africa
Sasa huu ni utani ama nini, ardhi mbingu na vyote ni mali ya Mungu, unampaje mwenye mali mali hiyohiyo? Naomba utusaidie ni namna gani tutampatia Bwana hiyo 1kg ya dhahabu? Tupatie ABC kaka.

Mungu mwenyewe Baba Yetu anataka watu wazitumie mali alizowapa kujiletea maendeleo. Tukishindwa kukaa na kuongea lugha moja namna ya kujenga maendeleo hapo hayupo wa kumlaumu tena. Minara inajengwa na wanaoongea lugha moja na si vinginevyo kama tunaitaka minara basi sharti tuzungumze lugha moja. Tukisema tunajenga bwawa, kila mmoja ajenge bwawa, tukisema tunajenga reli kila mmoja ajenge reli. Tusiseme ni reli halafu mwingine aamini kuwa mataruma ni ya kujengea nguzo za boma lake hatutafika.
 
Brother maendeleo na mafanikio Yana Siri nyingi sana ukisoma historia ya uingereza , marekani,urusi ,hayajaendelea hivihivi Kuna Mambo wamefanya ndipo nchi zao zikawa na nguvu mfano uingereza walikua wanatoa fungu la kumi la pato lao la taifa the same to America labda tuangalie warabu ile mibaraka ya kidogo aliyopewa Ismael ndiyo mafanikio ya warabu mama jusi walikua Ni wahindi pia nikukumbushe unazani kwa Nini magufuli alifungua ubarozi was waisrael tz Ni kwasababu tayari alikua amegundua Hilo Jambo pia nakumbuka magufuli wakati anafanya hivo nilisema kua magufuli atafanikiwa mno nakama c kifo magufuli angefanya Mambo makubwa mno brother haya Mambo yapo najua wewe Ni mwaminio ivi usipotoa fungu & sadaka utafanikiwa kweli ? Eeh ndg yangu ivi umelima shamba umevuna unaacha kumkumbuka aliyetupa ,Hilo Jambo ukitazama nikama halina mantiki ila mataifa yote yaliyofanikiwa hakuna taifa ambalo haupo mkono wa mwisrael brother trust me bila hi spiritual blessings Africa itakua maskini siku zote watajitahidi but wataendelea kugandamizwa na hayo mataifa maana MUNGU hawezi kuwatetea maana Mali zake yeye hakuna hata anachopata soma vzuri Israel mpaka leo taifa lao linatoa sadaka brother nchi nikama mtu kuiendeleza lazma ufate protocol zisizoonekana Kama hizo
 
Eeh ndg yangu ivi umelima shamba umevuna unaacha kumkumbuka aliyetupa ,Hilo Jambo ukitazama nikama halina mantiki ila mataifa yote yaliyofanikiwa hakuna taifa ambalo haupo mkono wa mwisrael brother trust me bila hi spiritual blessings Africa
Basi kama ni kutoa tuwapatie watu wa mungu, wahitaji watuzungukao sio nchi ambayo ipo makilomita elfu hukoo.

Na pia kuna nchi zinayo maendeleo bila mkono wa mwisraeli. Mfano sitaki kuamininkwamba Iran na Urusi vinasaidiwa na Israel kuendelea.

Mungu ni wetu sote bro, na Mungu hana upendeleo ni ukweli wa msingi unaopaswa kuuzingatia unapojenga hoja. Maana ni kivipi aipendelee Israeli, haileti mantiki.
 
Africa Ni bara tajiri MUNGU amelipa Mali nyingi but still bado Ni maskini. Tuliosoma darasani sababu za bara hili kua maskini kwa mtazamo wangu sio kweli .Tujiulize yafuatayo.

Nikweli Africa haina miundo mbinu, nikweli Africa haina raslimali watu, hivi nikweli hatuna viongozi sahihi n.k ukiangalia vizuri hoja zote tulizosoma darasani hizo nyingi Africa inazo but still ni maskini. Kuna kitu kinaitwa maendeleo na Kuna kitu kinaitwa utajiri

Ethiopia Ni endelevu but siyo tajiri. kwenye mafanikio yoyote Kuna kitu kinaitwa blessings yaani nawambia hiki ndicho bara la Africa halina sasa halina kivipi. Hiki kitu spiritual vision ndicho viongozi wa Africa hawana iko hivi haiwezekani bara la Africa MUNGU amelijaza Mali zote hizo lakini hata kumpa tu shukurani aliyetupa vitu hivi hakuna watu wanachua tu vzuri bila shida lakini huyo MUNGU aliye umba vitu hivyo hata kg1 ya dhahabu hakuna shukurani hakuna hakuna ambacho BWANA amepata kwenye bara la Africa afu unataka muwe tajiri tz someni historia ya mataifa yote tajiri hakuna taifa lililoendelea bila blessings mataifa mengi yaliyopita kwenye mikono ya mwisrael ndo yenye mafanikio yote, Africa jiulize ulimfanya Nini Israel ndo utapata majibu ya UMASKINI wako Ni Mambo mawili tu amlaaniye Israel amelaaniwa akubarikiye amebarikiwa, kupitia uzao wa Ibrahim mataifa yote yatabarikiwa hapo ndipo Africa ilipokwama haina "spiritual blessings" thanks.
Umaskini wetu unaanzia, nq, viongozi, wetu tuliochagua, pa moja na ushauri tuliopewa na wataalam, wetu wa, TIC, kituo cha uwekezaji, Mkapa, Kikwete, Nazir karamagi, Daniel yona,walituuingiza m kenge mikataba ya, madini, Geita,buzwagi, pitia, hii, report ndio utajua
 
Attachments

  • a-golden-opportunity-2nde.pdf
    1.4 MB · Views: 7
Back
Top Bottom