Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,425
- 25,261
Kuwaza, kupanga, kuamua na kutenda jambo lolote lile hususani kisiasa lenye kudhuru, kuumiza au kukuathiri wewe mwenyewe na pengine jamii Fulani, ni miongoni mwa dalili za mwanzo sana za dosari au kasoro katika uongozi wa taasisi za kisiasa au afya ya akili hususani kwenye siasa.
Kwa mfano hapa Africa mashariki,
mwanasiasa mkongwe nchini Kenya Raila Amolo Odinga aliwahi kususia uchaguzi nchini Kenya kwa ujeuri na kiburi cha kimaskini katika siasa, matokeo yake akaambulia patupu yeye na wafuasi wake, mpaka leo bado ana mangamanga tu kisiasa bila mafanikio yoyote. Umaskini jeru wa kisiasa unamtesa.
Hata pamoja na kususia kwake,
bado chaguzi mkuu ule wa Kenya mwaka 2017 ulifanyika kwa amani bila yeye na wafuasi wake aliowatapeli wasusie uchaguzi huo na washindi wakapatikana na wakatangazwa, wakaunda serikali na kuongoza taifa la Kenya bila mbambamba yoyote.
Lakini pia hata Zanzibar 2015
Mwanasiasa mkongwe hayati maalim Seiph Sharif Hamadi, alisusia uchaguzi wa aina sawa tu na ule wa Kenya, lakini wananchi wa Zanzibar na vyama vyao vya siasa makini wakashiriki uchaguzi ule, washindi wa uchaguzi huo wakapatikana, wakatangazwa wakaunda serikali na kuongoza dola, na hakuna kilichotokea, na waliosusa hawakufaidika na chochote na wala hawakuambulia chochote.
Kwahiyo,
kususia uchaguzi kwa namna yoyote ile ni sawa na kujidhulumu lakini pia kujiathiri wenyewe.
Ni sawa tu na mtu mwenye matatizo ya akili kufanya mambo yanayomdhuru na kumuumiza yeye mwenyewe.
Umaskini Jeuri katika siasa unakupatia hasara wewe tu hususani wewe msusaji na huenda ukapoteza hata ushawishi wako kidogo sana ulonao.
Tafadhali shiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, utakao fanyika October mwaka huu 2025, usikubali kudhulumiwa au kutapeliwa pesa, uhuru na haki yako ya kupiga kura na matapeli wa kisiasa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania