Hakika ...... Nauchukia sana umasikini.... sana sanaMiongoni mwa vijana wengi tupo kwenye umasikini hata kama tumeajiriwa au kujiajiri mfano mtu ni mtumishi lakini hata kula kwa mawazo
viashiria vya umasikini ni
mshahara haukutani kwa baadhi ya watumishi
watu hawana furaha muda mwingi
Kulalamika kwing nk
Jinsi ya kujikwamua umia kwa wakati huku ukitafuta vyanzo vingine vya mapato
Inasikitisha sana...
kuna wengine hata wazipate vipi hawaridhiki... siyo kwamba hawana...
cc: mahondaw
Inasikitisha sana...
kuna wengine hata wazipate vipi hawaridhiki... siyo kwamba hawana...
cc: mahondaw
True lengo ni kufikisha ujumbe then tujikwamueSmart911 love mtoa mada anajua majukumu ya kila mtumishi lakini ???
Tumetofautiana koo wengine tunategemewa na ukoo nzima kusomesha kuhudumia watoto wa ndugu ambao wanepoteza uhai n.k
still mtu bado hujapanga maisha after kustaafu au leo/ kesho umeachishwa kazi ghafla inakuaje!!??
wengine wazazi wetu wanatutegemea aseeeh
wengine unaona kabisa mtoto wa mamdogo mjomba Shangazi ana vision ila ndoivo mzee wake hali si shwari kwanini usimsaidie
Unakula vizuri some days sio kila siku
ila yote tisa Inategemea na mfuko wako!!
Hakuna asiyependa maisha mazuri
Kwenye uongozi bora na siyo bora uongozi.Tuanzie wapi kujikwamua
Soko unatoa wapi?Vizur ila pia kujiwekeza katka vyanzo vingine vya kuingiza kipato
Kweli aisee watu hata kutimiza basic needs ambazo ni chakula, mavazi na malazi ni mtihani!!Miongoni mwa vijana wengi tupo kwenye umasikini hata kama tumeajiriwa au kujiajiri mfano mtu ni mtumishi lakini hata kula kwa mawazo
viashiria vya umasikini ni
mshahara haukutani kwa baadhi ya watumishi
watu hawana furaha muda mwingi
Kulalamika kwing nk
Jinsi ya kujikwamua umia kwa wakati huku ukitafuta vyanzo vingine vya mapato
Ni kweli mahondaw wangu... Maisha yanatofautiana sana... Wengine wanazipata ila hazikai kwa sababu...Smart911 love mtoa mada anajua majukumu ya kila mtumishi lakini ???