Umaarufu wa Wema Sepetu umeishia wapi?

Weston Songoro

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
2,793
1,083
Siamini kama Kamanda huyu kwa sasa amekuwa outdated. Siamini kama CHADEMA wamemsahau kiasi hiki. Siamini kama zile mbwembwe za awali zimeyeyuka kiasi hiki. Kuna siku niliwatahadhalisha kuwa siku zote mtu anayehama kwa hasira kuna siku akili yake itatulia na atajuta. Ninachokiona kwa sasa ni majuto ambayo Wema anayo kutokana na maamuzi ya pupa na jazba anayofanya.

Kiasi cha fedha alichoahidiwa mpaka sasa hajalipwa. Mama yake amegoma kuitangaza CHADEMA mpaka atakapopata chake. Ipo siku Wema na mama yake wataomba radhi na kuomba kurejea CCM. Nawashauri CCM msikubali kuwapokea tena
 
Chadema hakuna hayo mambo kwanza hatuna hela kimamoja anajua usituchote akili kizembe naisi utakuwa umetumwa
 
Wema is there and she will always be there kuna kitu amezaliwa nacho amepewa zawad na Mungu kinaitwa Charisma yaan ana nyota Kali ya kupendwa na watu semashida wema ana tatizo LA kuover trust watu,ana roho nzur kwahiyo wanatumia udhaifu Wa wema kufanikisha mambo yao rafik zake baadhi wanasubir apate pesa akishaishika yooote inaishia club hayo ni maneno ya mamake...iko siku wema atajiongeza na kwa nyota yak e atakuwa kama role model wake Kim kardashian kibongo bongo sijuiiii lkn in shilawadus voic
 
Chama cha Mtei na mkwewe Mbowe wakulipe hela hivi hivi tu,wao wako pale kwa ajili ja ruzuku tj matatizo yake madogo sana atapewa kijana amsaidie
 
Msimuonee Wema tu hata Diamond hasikiki wala Alikiba. Saivi ni Harmorapa , Makonda , Gwajima, Mange na Nape
 
Mwisho wa mwenye hela na fukara ni tofauti kubwa sana, angalia mwisho wako utakuwa vipi.
 
Akiamua kutulia na maisha yake mnaongea, akitokea kwenyd magazeti mnaongea. Ni ngumu kuelewa Watanzania wanataka nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…