Nina baadhi ya nyimbo za ntombi kwenye mfumo wa audio ntaziupload baadhi yake aseeAiseeh Reghia na mangelengele mmenikumbusha sana,mpaka leo tape zao zipo home,nataka nijue km kuna sehemu wanaamisha kutoka tape kwenda cd nipeleke ziwe katika muundo wa cd.
Mie ninazo kama 30+Kama umekulia vijijini kama mimi hasa vijiji vilivyo mikoa ya nyanda za juu kusini basi huwezi acha kumjua huyu dada maarufu kwa nyimbo zake maaraufu kama nyimbo za "ntombi" au "funk 36" kwani zilikua zikipigwa sana kwenye vilabu vya pombe na harusi hasa baada ya bibi arusi na bwana harusi kuondoka NA ambushi za kufukuza wanafunzi kuanza....nyimbo kutoka kwenye albamu zake kama JELANI JELANI na MFANANYANA zilibamba sana.. Lkn cha kusikitisha ni kwamba ukienda Wikipedia hakuna hata story fup ya huyu mwanadada toka South Africa.
JE UNAMKUMBUKA?NIAMBIE UNAKUMBUKA NN UKISIKIA NYIMBO ZAKE!?
Kipindi hicho ndio kuna sherehe nyingi sana za harusiHahahahahahahaha ilikua balaaa hasa katika miezi ile ya mavuno kuanzia mwezi sitaa mpaka wa 10 mzee ilikua baraaaaaaa sio balaa tena
Kipindi hicho ndio kuna sherehe nyingi sana za harusi
msshindi wa kucheza anapewa superdip akakoroge iwe soda au anapewa banzoka au peremende
asanteeeeeeee daaaah!Kifurushi Kimekata nitaendelea nikipata kifurushi wakuu tukumbushie enzi za dada zetu wakiolewa basi ujue siku hiyo disco mpk betri la gari liishe au betri za National. et siku hizi umeme
ilikuwa kama wimbo unapendwa basi biki mkononi ukiisha mnasimama mnasubiri dj aurudishe nyuma kwa biki
hahahahahahahaaaaaa! Longi sana
Nimekuwa chizi kwa kichekoHahaha supadip pakiti moja inatoa ndoo nzima jamani jamani zamani zamani kweli!
Hakuna tabu mkuu...usisahau kuweka na picha yake ili tulinganishe nyimbo zake na picha zake.Usijal ntaziupload baadhi madamee