Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Vipi upande wako ilikuwa kipindi ganiiiHiyo hata mimi imenikuta, ni hulka ya binadamu kuwa hivyo sishangai sana
Miaka sita iliyopita masta...Nilijitolea kumsaidia kwenye elimu yake...Alifaulu na kazi amepata..tukionana ni salamu tuVipi upande wako ilikuwa kipindi ganiii
Unapo saidia mtu hata kama ni mtoto wako wa kuzaa usitegemee asilimia 100 siku moja hatakuja kulipia wema wako wa awali.
Duniani kila mtu ni mmoja mmoja si habari ya kufanana vinasaba wala udugu duniani ni mtu mmoja mmoja ktk nafsi moja tu.
Hapo ndo msemo wa tenda wema nenda zako uchukua nafasi.
Ni kweli mkuu unalolizungumziaNimewasaidia kama sehemu ya jukumu langu hapa duniani. Sitegemei wanisaidie siku moja Kwa sababu sikutoa ili nitolewe.