Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,646
Katika maisha huwa tunakutana na watu tofauti tofauti wenye tabia tofauti na wengine hutokea kuwa marafiki zetu wa karibu sana mwisho wa siku tunawaamini na kuwaelezea maono na mipango yetu katika harakati za kufanya maisha
Je, ushawahi kuwa na rafiki wa karibu ambae ana tabia au mwenye maneno ya kukuvunja moyo kwa kile kitu unachojaribu kukifanya cha kimaendeleo.
Kuna mwingine anakuvunja moyo kabisa anakuona hauwezi kabisa kitu hata ukimwelezea habari za biashara kazi unayotaka kufanya au unayoifanya yeye anakuwa kama anakusanifu
Je, ushawahi kuwa na rafiki wa aina hii na uliwezaje kudeal naye.