lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,472
Mbona mwanaume anaweza kumpenda mwanamke ambae hana kitu. Inakuaje mwanamke ashindwe kumpenda mwanaume ambae hana kitu. Tunazungumzia nini hapa, mapenzi au biashara ya uchi?Kama bado unamuhitaji mambo yaendelee, kama haumtaki basi....
Kumpenda mtu asie na kitu yani hohe hahe yataka moyo nyie!!! Hata ukifanya nae haupati utamu kabisa
Vyote mapenzi na biashara ya uchi dear....Mbona mwanaume anaweza kumpenda mwanamke ambae hana kitu. Inakuaje mwanamke ashindwe kumpenda mwanaume ambae hana kitu. Tunazungumzia nini hapa, mapenzi au biashara ya uchi?
Onaa sasa mapenzi hakuna pesa hakuna biashara gani hiiKuna boya mmoja nilimpendaga aise hata hamsini mbovu alikuwa hanipi(hana hela)lakini ulikuwa huniambii kitu loh....nilishindwa maana tulikuwa tukikaa hazijapita dakika mbili tushakwaruzana kha!!muda wote kajawa na amri tu 😔😔siku nyingine natamani kudeka deka..basi hata nikitengeneza mazingira ya kubadilisha sauti iwe kama ya Celine Dion ohooooo...nakutana na sura ya vita...woooooiiii..
Na ubandidu wake hivyo hivyo loh.Shikamoo mapenzi marahaba sit down.kha
Ukiona uko na mwanamke na huna hela...arifu,jua mwanamke ndie kakuelewa Vinginevyo,maneno ya shombo hayatakaa mbali saaana na ngoma za masikio yako.sijui unanielewa...Mbona mwanaume anaweza kumpenda mwanamke ambae hana kitu. Inakuaje mwanamke ashindwe kumpenda mwanaume ambae hana kitu. Tunazungumzia nini hapa, mapenzi au biashara ya uchi?
Dah mapenzi yatoe hapo.. ibaki biashara ya uchi tu. Lakin siku Mungu akikupa pesa mingi, hautotamani tena kuwa na Bwana mwenye pesa mingi zaidi yako. Utatamani upate tu mtu anaekupenda kwa dhati. Hivyo tunaweza kubaliana ni umasikini wetu unasababisha utamani kuwa na mtu mwenye unafuu zaidi yako wa kimaishaVyote mapenzi na biashara ya uchi dear....
Kama bado unamuhitaji mambo yaendelee, kama haumtaki basi....
Kumpenda mtu asie na kitu yani hohe hahe yataka moyo nyie!!! Hata ukifanya nae haupati utamu kabisa
Inakuwa ni biashara lakini ni kichaa.Onaa sasa mapenzi hakuna pesa hakuna biashara gani hii
Tatizo watu mkiambiwa pesa basi mnadhani yani mtu awe na maburungutuuu!!!!!Dah mapenzi yatoe hapo.. ibaki biashara ya uchi tu. Lakin siku akikupa pesa mingi, hautotamani tena kuwa Bwana mwenye pesa mingi zaidi yako. Utatamani upate mtu anaekupenda kwa dhati. Hivyo tunaweza kubaliana ni umasikini wetu unasababisha utamani kuwa na mtu mwenye unafuu zaidi yako wa kimaisha
Wapo wanawake wanaowaelewa jamaa zao ambao wana maisha ya kawaida tu. Kuna sista mmoja ni Kigogo kwenye kampuni moja kubwa ya kuchimba dhahabu kanda ya ziwa. Ana mume wake choka ya kawaida tu, kamzidi kiuchumi zaidi ya mara 20. Lakin hiyo heshima na love anampa jamaa yake usipime. Hawezi kufanya kitu bila ruhusa ya jamaa. Ingekuwa dada zetu hawa sasaUkiona uko na mwanamke na huna hela...arifu,jua mwanamke ndie kakuelewa Vinginevyo,maneno ya shombo hayatakaa mbali saaana na ngoma za masikio yako.sijui unanielewa...
Its either utafute pesa au usubiri kupendwaUkiona uko na mwanamke na huna hela...arifu,jua mwanamke ndie kakuelewa Vinginevyo,maneno ya shombo hayatakaa mbali saaana na ngoma za masikio yako.sijui unanielewa...
Sasa hiyo sio pesa..hiyo ni hela. Maana kuna hela, pesa na fedha. Wenye fedha ndo kama kina MoTatizo watu mkiambiwa pesa basi mnadhani yani mtu awe na maburungutuuu!!!!!
Ndugu mapenzi na pesa ni are inseparable!!! Ukitaka kwenda kula tunda you need money, mkale, mnywe kidogo, ulipe lodge..... Pesa inahitajika
Huo mdadavuo mi siujui, ila nnachojua mkiambiwa mapenzi yanahitaji pesa huwa mnamind na kupanic....mnahisi kwamba pesa inabidi uwe na maburungutuuu, uwe na gari kali kumbe wala sio maana hiyo.Sasa hiyo sio pesa..hiyo ni hela. Maana kuna hela, pesa na fedha. Wenye fedha ndo kama kina Mo
Hhahaha dah kweli pesa inawafikisha kileleniKama bado unamuhitaji mambo yaendelee, kama haumtaki basi....
Kumpenda mtu asie na kitu yani hohe hahe yataka moyo nyie!!! Hata ukifanya nae haupati utamu kabisa
Ni miti aliyokuwa anakupiga ilikufikisha.. Inaonekana alikuwa anakujulia kukukuna na kukukojelesha kiasi kwamba hata ukifikiria kuondoka uziache hizo raha unashindwa. Nguvu kubwa ya wanaume tuliyo nayo ni mikandamizo na mikito ya kitandani. .BasiKuna boya mmoja nilimpendaga aise hata hamsini mbovu alikuwa hanipi(hana hela)lakini ulikuwa huniambii kitu loh....nilishindwa maana tulikuwa tukikaa hazijapita dakika mbili tushakwaruzana kha!!muda wote kajawa na amri tu 😔😔siku nyingine natamani kudeka deka..basi hata nikitengeneza mazingira ya kubadilisha sauti iwe kama ya Celine Dion ohooooo...nakutana na sura ya vita...woooooiiii..
Na ubandidu wake hivyo hivyo loh.Shikamoo mapenzi marahaba sit down.kha