Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Maombi na kusoma kwa bidii
Hayo mambo ya kuhudhuria misa kila asubuhi +kusali masifu 4 times per day vilifanya magoti yaote sugu. Japo mwishoni mambo yalikuwa mazuri sana.TENA UMENIKUMBUSHA
Nilisomaga BENDEL MEMORIAL SEC. SCHOOL. Kule kila siku ilikuwa ukiamka asubuhi kanisani na kusali misa.
nilipotoka huko nikaenda shule nyingine. japo kichwa changu ni kizito ila sikushangaa. nilikuwa najifunza na phy, na chem na maths yalikuwa hayaingii kabisa.
ila leo ndo nakumbuka na kitambi changu
Mi nliwahi jaribu kutumia nondo form one nilitetemeka hadi nikashindwa kufanya mtihani niliomba ruhusa kwamba naumwa na mtihani nikaishia apo nakumbuka ilikuwaga chemistrySASA NAFIKIRIA KURUDIA MTIHANI WANGU WA KIDATO CHA SITA. HAPA NISHAANDAA NONDO ZIMEJAA KABATI.
Hayo mambo ya kuhudhuria misa kila asubuhi +kusali masifu 4 times per day vilifanya magoti yaote sugu. Japo mwishoni mambo yalikuwa mazuri sana.
Mi njia ambayo imrnisaidia mpaka leo kuwa makini mwalimu anapokuwa anafundisha na kussumarize kile anachofundisha mwalimu baada ya pindi namtafuta mtu najifanya Kama namfundisha uku nkikumbushia aluvjosema ticha baada ya apo nasubr pepa nkiona maswali tu yanashuka yenyewe from nowhere
ntajihidi japo ile imeniathiri sanaUtakuwa husali tena baada ya kufaulu
umrudie Mungu
Kama bado unasoma jrb kufanya hvy misuli ya kukesha sijui kusoma Sana sijaipitiaWewe kichwa aisehhh i wish i could be you
Mi nliwahi jaribu kutumia nondo form one nilitetemeka hadi nikashindwa kufanya mtihani niliomba ruhusa kwamba naumwa na mtihani nikaishia apo nakumbuka ilikuwaga chemistry
Nimejiburuzia A's za kutoshaAta mimi ilikuwa hivyo hivyo ila wastani wa kuvuka darasa wa 55 ulikuwa mkubwa sana. ikabidi nitaffute mbinu mbadala
Kama bado unasoma jrb kufanya hvy misuli ya kukesha sijui kusoma Sana sijaipitia
Nimesoma telecommunication engineeringSISOMI TENA SASA
ila inategemea ulichokuwa unasomea. kama masomo yale ya engineering na udaktari hayo lazima, kitabu maana kitabu kimoja kama biblia ya kuendeshea misa
Mkuu unapaswa kuona aibu kwa hiki ulichoandika.Unataka kuwafundisha nini vijana walioko humu ambao bado ni wanafunzi?Kwamba cheating inakubalika as long as haujakamatwa?Wewe na wote wakuungao mkono mmechangia kuharibu maadili,na kila apendaye haki apaswa kuwakemea.