Jamani Kuna anaewajua Chaka force security? Maana Kuna Uzi nimeupitia naona watu wanalalamika kuwa kazi ya ulinzi wengine hawalipwi wengine wanapewa laki Moja Yani balaa tu.
Mi naomba kwa anaewajua Hawa Chaka force security je ni salama kufanyia kazi? Na pia kama unajua wanalipa bei gani naomba unijuze, Yani malipo kwa mlinzi wa kawaida tu.
Pia kama Kuna changamoto zozote labda watu hawalipwi pia naomba kujua maana Kuna mtu ameniunganisha nikaamua kufanya research nikaona kama Kuna kampuni nzuri na za hovyo, sasa Hawa nao wapo miongoni mwa kampuni nzuri?
Karibuni