Ulimwengu wa future ukoje?

LINCO

Member
Dec 16, 2015
34
13
Habari zenu wakuu,

Kuna kitu kinaitwa future ningepende kufahamu ni ulimwengu wa namna gani? na unakadiriwa kutokea baada ya miaka gani ijayo? na ikitokea hakutakua na future nyingine tena?

Vitu gani na maisha gani ambayo watu wa kipindi hicho watakuwa wanaishi? nini madhara na faida yake? na je vipi kwa upande wa nchi zetu za afrika kunaweza kuwa na mabadiko ya kuwa sawa na wenzetu katikakatika kipndi hicho?

Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Future siyo Ulimwengu mwingine bali ni terminology tu katika lugha ya kingereza.
sina uhakika unahitaji nini Mkuu.
 
Future world tafsiri yake ni ulimwengu ujao! Kimsingi hii ni phenomenon ambayo haipo kwakuwa hakuna mpaka Kati ya ulimwengu wa juzi jana Leo kesho na huo ujao, kila kitu kiko kwenye mnyororo wa moja kwa moja unbroken chain kwamba kinachotokea leo ni matokeo ya kilichotokea juzi na jana na ni mwendelezo mpya wa kile kitakachotokea kesho na hicho kinachoitwa future world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…