Weltmeisterschaftung
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 364
- 247
watu walikuwa wananishangaa utasema nimenyijea mkuu. mpaka nikawa ninajishtukia shtukia. kwa kweli si kuwa na raha siku za mwanzoni.Ila huu unao itwa usafi kwa vijana wengi wa kuime unapita mipaka, Kijana ili aonekane msafi anapaka powder, sijui anatinda nyusi eti unakuta baba zima eti amepanga foleni asuguliwe miguu na kukutwa kucha tena saloon za kina dada zetu..
hanuna kigine zaidi ya kuwa smart ndio kulikonipa cheo dada yangu. kama suala ni uwezo kuna ambao wananizidi kidogo alafu ni wakongwe sana hapo kwa ofisi.Mimi jamani mpaka kesho sipendi mwanaume wa kunyoosha trouser akaweka upanga halafu tena iwe na size pana... Ila hongera lkn sidhani kama umepata cheo kwasababu ya usafi wako, siamini pia kua wenzako hawakua smart.....
kweli kabisa. ilimradi mtu asitembee tu bila nguo.Kupanga ni kuchagua
ila nilikuwa natoka bomba sana rafiki yangu...................naona ni wivu tu ulikuwa unawasumbua watoto wadogo wale.Point iko hivi yaani ww ulikuwa unapiga pamba za shamba na wenzio walikuwa wanapiga pamba za mjini sasa ww utapigaje pasi upanga unasimama acha ushamba
Mimi hiyo ya upanga huwa naishangaa sana.Mimi jamani mpaka kesho sipendi mwanaume wa kunyoosha trouser akaweka upanga halafu tena iwe na size pana... Ila hongera lkn sidhani kama umepata cheo kwasababu ya usafi wako, siamini pia kua wenzako hawakua smart.....
huo ndio utanashati usiopitwa na wakati. muone hata rais wako anavovaaga.Mimi hiyo ya upanga huwa naishangaa sana.
.......huyo ni mwanamke niliyetokea kumpenda tu kaka.Na avatar ya kike nayo unaitolea vipi maelezo?
Ni Uvaaji wa kisabato ndio umekupa promo amaa?Mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Kigoma.
Siku ya kwanza nilipokwenda kwenda ku-report kazini mwaka 2011 kampuni moja ya Dar kabla ya kuletwa huku Tanga,nilichomekea suruali yangu nzuri tu nimeipiga pasi upanga unangaa mtoto wa kiume na shati safi pamoja na tai moja matata sana kama nilivyozoeshwa taratibu za uvaaji nikiwa primary, o level na hata high school.
Nilipofika kwenye ofisi na meneja rasilimali watu alinipokea vizuri sana na kuanza kunipitisha kwenye partition ya kila department nikitambulishwa kuwa mimi ni mfanyakazi wao mpya hivyo wanipe ushirikiano wa kutosha katika shughuli zangu.
Kilichonishangaza ni kwamba watu walikuwa wakinong'ona chini kwa chini kwa kila idara niliyokuwa nikitambulishwa na nilipokuja kuuliza baadaye baada ya kuzoeana nao nikaambiwa kuwa nilikuja ofisini nimevaa kama babu mzee wakati wao wanatupia vimodo vya kijanja. Kuna wakati watu wanatupia mpaka vimodo vinaishia chini ya magoti utafikiri anaenda disko kusakata rumba.
Nilishangaa sana na kujiuliza zile tabia njema za uvaaji tunazofundishwa mashuleni huwa zinapoteleaga wapi? Lakini kwa kuwa nilijua kwa maisha ya mjini kila mtu huwa ana ustaarabu wake nilipotezea.
Sasa unajua ni nini kilitokea,baada kupiga mzigo wa kufa mtu kama miezi sita nikapewa transfer kuletwa Tanga kuwa assistant branch manager na kuwaacha "wajanja wa mjini" wakiwa mdomo wazi hawana la kusema. Nilichojifunza tangu siku hiyo ni kuwa usafi unalipa sana pahala pa kazi na utaonekana ni mtu tofauti sana kama utajipenda na kujijali.
kwani wasabato wanavaa vipiNi Uvaaji wa kisabato ndio umekupa promo amaa?
Nenda kanisani kwao uonee au kama kuna aliyeko mtaani mwanaume mfata dini sanaaa... mtizame uvaaji wake. Hope nawe msabatokwani wasabato wanavaa vipi