Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 19,803
- 21,815
Hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi.
Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?
Mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha ukapigwa ban 🐒
---
UFAFANUZI
Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?
Mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha ukapigwa ban 🐒
---
UFAFANUZI
Habari,
Mods wanafanya kazi kwa kuzingatia Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala hivyo hakuna mwanachama yeyote anayefungiwa bila sababu, na mwanachama kufungiwa huwa ni chaguo la mwisho kabisa baada ya hatua nyingine kushindikana.
Endapo utakutana na chochote kinachokiuka mwongozo huo, unashauriwa kuripoti mara moja ili kifanyiwe kazi kwa haraka sana.
Jinsi ya kuripoti; Kila comment kwa chini kuna alama ya kengele, hivyo utatakiwa kubonyeza sehemu hiyo na itakuletea sehemu ya kuandika sababu ya kuripoti. Baada ya kuweka sababu, utabonyeza sehemu iliyoandikwa Report na hapo itakuwa imetufikia kwa ajili ya kuifanyia kazi.
Angalia mfano hapa chini kwenye rangi ya njano.
Asante sana.