Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,598
- 7,201
Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.
Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.
Msaada wenu tafadhari.