Ukweli wa ile sayari ya NIBIRU au PLANET X ambayo inaielekea kugonga dunia kwa kasi ya ajabu

Hivi kati ya hiyo miaka 2015,2016,2017 ni mwaka gani dunia iligongwa na planet x maana mi baada ya kuona tu huu uzi nilikimbilia zangu Neptune
 
Ngoma ipo inasogea ni kubwa mno na iko mbali mpka ifike tushakufaga na vizazi kwa vizazi.
 
...Hizo nukuu za Viongozi wa Dini umeziweka ili kusisimua tu habari hii maana hakuna kauli iliyoongelea Nibiru Moja kwa Moja Bali umenukuu mafundisho ya kawaida tu na ya siku zote ya Viongozi hao was Dini!

...kitendo kinachoifanya habari hii kuwa hadithi tu na kuitaka iaminike kwa kunukuu mafundisho ya dini ya viongozi wa Dini ambayo wala hayazungumzii Nibiru...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…