Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 438
- 1,589
Kwa kweli kama alivyosema mwenzangu humu jf, Leo ndio ile cku ya kuvunja unbeaten record ya yanga, kwa kweli hata cjui kwann kagera sugar walimrudisha Mexime, timu inacheza weeee lkn haina mipango yoyote ya kutafuta goli, ilikuwa kama inatuzuga sisi tu, hongereni sana yanga, ckubaliani na hoja ya fatigue kwa sababu timu zimesajili wachezaji 30, kama kuna waliocheza kule Tunisia basi wasiocheza wakipge na Kagera, ndio nilivoona Leo, yanga ya Leo iliyocheza na kagera kipindi cha kwanza ikiwa na akina mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Cjui Clement, cjui lomalisa, nimekifananisha na kikosi cha kwanza cha Simba cha sasa hivi, kile kilichoingia kipindi cha 2 ndio yanga yenyewe ile, lazima tuseme ukweli wenzetu wana wachezaji wa kuwapa matokeo, sio sisi cjui kibu, cjui nyoni, cjui mwanuke, cjui okwa, ujinga mtupu.
Kama Kagera kafa kwa yanga ya leo basi azam na Simba pambanieni nafasi ya 2 tu, save the date.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kama Kagera kafa kwa yanga ya leo basi azam na Simba pambanieni nafasi ya 2 tu, save the date.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app