Ukweli unaojulikana lakini kila mtumishi wa UMMA anajifanya hajui kitu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
14,762
42,889
1. Mshahara wa walimu na askari magereza ndio mshahara pekee wa watumishi wa umma unaokutana na mshahara mwingine. Hii ni kwasababu wanajua wakifanya masihara tu wamekula tope.
2. Watumishi walioko kwenye taasisi zenye udambwidambwi (madili) mshahara wao unaisha ndani ya wiki moja tu hata kama wanalipwa pesa nyingi kiasi gani. Wanajua hata wakimaliza mshahara ndani ya siku 2 maisha lazima yaende.
3. Kuna watumishi wa umma wanavaa nguo safi kwenda kazini kumbe mioyoni mwao hawawazi kazi. Wanawaza madili tu.
 
Back
Top Bottom