Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,083
- 3,571
Tanesco kadiri siku zinavyokwenda ndio wanazidi kuwa sugu Yani Sasa hivi wanakata kata tu umeme bila ya sababu yoyote
Nesema bila ya sababu yoyote Kwa sababu sisi kama wateja wao hawajatuambia chochote Kwa Nini wanakata kata umeme
Yani Kwa Sasa huku kwetu umeme kuwaka ni kama bahati mbaya ila Giza ndio kawaida
Hata siku kama ndio upo huo umeme unakatika katika zaidi ya mara 10 Kwa siku
Hapa sahizi tokea liingie Giza Yani Kwa hi nusu saa umekatika na kuwaka mara 3 na hivi Sasa umekatika tena sijui utawaka saa ngapi
Ni kitu gani kinasababisha hivi Je!
Transformer mbovu na wameshindwa kuzitengeneza?
Waya zinalegea na wameshindwa kuzikaza?
Nguzo zimeoza Kila siku zinaanguka na wao hawana nguzo zingine ?
Maana haiwezekani Kila siku umeme unakatika katika Ina maana wameshindwa kuutibu hilo tatizo na sidhani kama Kuna tatizo katika umeme la kiufundi Tanesco wakashindwa kulitibu Kwa mwezi mzima ila huu ni uzembe na hakuna kiongozi wanayemuogopa
Eneo ni Chamazi
R.I.P Magufuli
Ndio kiongozi pekee uliyeweza kuiongoza hi nchi