Ukweli mchungu! Dr. Tulia hapendwi ndani na nje ya chama

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,234
Ni ukweli usiopingika kuwa Naibu spika wa Bunge Dr. Tulia amekua hapendwi hata na wabunge wa Chama chake mwenyewe humo Bungeni. Naibu spika amekua na tabia ya kuringa na kubinua mdomo wake na kuwaangalia wenzie kupitia juu kidogo ya miwani yaake amekua kero kwa Wabunge wote bungeni.

Dr. Tulia amekua na rigid decision ambazo zimeweza kuwachukiza wengi hasa kipindi hiki ambacho Spika wa bunge hayupo.

Vyanzo vya taarifa hapa bungeni vinasema kama ikitokea hoja ya Kumng'oa wabunge wa CCM wameapa kutofanya makosa kwani ndo aliosababisha Mheshimiwa Waziri Kuwaita Wanasiasa Vilaza Kumbuka siku ya hoja ya kufukuzwa kwa wanafunzi zaidi ya 7,800 wa Chuo Kikuu Cha Dodoma yeye ndo alikataa suala hilo lisijadiliwe Mheshimiwa Rais akaja Kupangua hoja kinamna ambavyo sisi wasomi tumekua na maswali mengi vichwani mwetu kwani awali Taarifa ya Waziri ilikua ikieleza vitu tofauti na vile vilivyoropokwa/semwa Siku ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

 


Hahahah Tundu Lisu amekuwa akizoea kuwadanganya na kuwachachafya baadhi ya Wabunge sasa kapata kiboko ya viboko mama Tulia (PhD) dadadeki kama Sheria ndiyo imelala, sasa Tundu &Co. na elimu zao za kuunga unga wanajaribu old tactics, hapo mmefika
 
Sio kila PHD inakuwa na maana wewe. Watu wengi wenye masters na Bachelor wanafanya vizuri na wanajua mambo sana! Phd ni kukaa darasani tu na kukariri mavitabu haina lolote la maana ndio maana huwaoni kwenye uongozi wa nchi zinazojitambua kama marekani uingereza and co
 
Long life DR Tulia. Atawanyoooosha mliokuwa mmezoea vya kupindisha ma law
 
Unaijua CV ya Lisu mkuu au umeandika tu kuitetea elf saba yako? Doctorate ya Tulia na ileya mkuu si ndio zile zile tu. Unaeza fananisha ujuzi wa sheria wa Lisu na wa Tulia kweli ?
 
Sababu unazozitaja za kumwelezea Naibu Spika kwamba hapendwi wala hazina mashiko. Nikuulize, Maamuzi Yote aliyofanya Naibu Spika hadi sasa, unadhani angekuwa Spika ndio amekalia kiti kungekuwa na tofauti????
 
Hawampendi Tulia kama Tuliaa Au Tulia kama Naibu Speaker ..
Anyway huyu kwa nafasi yake na kaz aliyopewa na Magufuli, hata wana CCM wenzake wanamnangaa tu. Ika huyu ni kama donda la saratani, maumivu hadi kiama
 
Wapinzani wamepiga sana kelele juu ya unafiki wa chama chakavu lakini kwa wanaotaka kuelewa basi watakuwa wamemwelewa Mh. Bashe, na ambaye hakuelewa hapo hatakaa aelewe unafiki ni kitu gani.
Kitu kibaya kwa magamba ni kwamba 'huyu mzee' wa sasa hatabiriki na kiwango chake cha kuendekeza unafiki uenda akiapishana na wabunge wake wengi pamoja na wanachama. Hivyo nje watajifanya wanacheka huku ndani wanalia lakini mwisho wa siku huenda tukawajua kuwa wote wanalia.
 

Ndiyo na mimi naona faida ya PHD na mbeleko!!!!! Kaza boot sana dada Tulia mbeleko bado kabisa kuchakaa!!!!!!!!!!
 
Za kuambiwa changanya na zako. Labda amehaidiwa kuwa mgombea mwenza Wa JPM 2020 kuchukua nafasi ya Samia.
 
Unaijua CV ya Lisu mkuu au umeandika tu kuitetea elf saba yako? Doctorate ya Tulia na ileya mkuu si ndio zile zile tu. Unaeza fananisha ujuzi wa sheria wa Lisu na wa Tulia kweli ?


Ana ujuzi gani wa sheria huyo Lisu? Mbona Hana PhD kama dada Tulia? Weka hapa hiyo CV ya Lisu ya kuunga unga tuione!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…