Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,074
- 3,322
Wasalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia darasa la 3 akitukana vyama upinzani huku akijua fika bila vyama vya upinzani ccm wangekua wmeshamuuza hata yeye kwa waarabu na wazungu.
Kwa utafiti wa kina niliofanya nimegundua wasanii asilimia kubwa ni ziro minded hawajasoma wengi waliishia la tatu na wachache walifika la saba kwa mbinde na waliomaliza form ni wachache sana ndo maana uwezo wao wa kuchambua masuala muhimu ni mdogo sawa na watoto wa chekechea hivyo hutumika vibaya kwa maslahi ya ccm na kutesa umma mkubwa wa watanganyika wanaoishi maisha magumu huku ccm na viongozi wake wakiishi maisha ya anasa.
Itoshe tu kusema kwamba kuanzia sasa watanzania wenye Nia njema na nchi yao kususia na kuwatenga wasanii hawa kila watapopanda jukwaanikama ilivyotokea kwa zuchu kule mbeya basi itokee na mikoa yote na popote watapotumbuiza hii itaamsha akili zao za kitoto zilizotekwa na mafisadi CCM.