Nimeshiba sana
Member
- Jul 4, 2024
- 55
- 66
Mzuka wana JF
Kuna wadau humu wanapenda kuiponda sana marekani totaly (sio kwamba nasema marekani haina maovu )
wanasema russia ndo kila kitu na wengine wanafika hatua ya kuita Russia ni taifa teule. Lakini kila siku wanalilia visa za kwenda Marekani.
Guys twende mbele turudi pembeni, wana Russia weusi wakipewa nafasi ya kwenda russia au Marekani, wote watakimbilia Marekani - the land of opportunities!
(kwa wapenda safari na exposure tu ndo inawahusu)
Nimemaliza 🏴☠️🏴☠️😎😎👽