Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 278
Ningependa kumkosoa FRANCIS DA DON aliposema eti General Tyres Tanzania ilihamishiwa Kenya na kuitwa Yana Tyres.
Ukweli ni kuwa Yana Tyres ni kampuni ya Sameer Africa ambayo ina kampuni nyingi AFRICA nzima. Sameer Africa ni moja ya kampuni za mradi wa AGA KHAN FOUNDATION ambao unamiliki vituo vya redio na tv kama DAILY NATION, MWANASPOTI NK. Pia wanamiliki mahoteli ya kifahari, mahospitali, benki na mashule.
Kwa hivyo FRANCIS DA DON kusema kwamba G.T.T ilihamishwa Kenya ni urongo kwani Yana Tyres ilikuwa inaitwa Sameer Africa Kenya kabla ya kubadilishwa.
FOR THE DOUBTERS, GOOGLE SAMEER AFRICA AMA AGA KHAN FOUNDATION.