SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA.
1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.
2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.
3. Wanaojifanya wao ni bora kuliko wanafunzi wengine wa vyuo vingine.
- UDSM.
4. Wanao lipa hela nyingi ya ada na vyuo vyao havina viwango.
-St. Joseph.
5. Wanao ongoza kutembea umbali mrefu na kuwa na usumbufu mkubwa wa usafiri na shida kubwa ya maji.
- UDOM
6. Wanao jiona wajanja kuliko vyuo vingine vyote.
- IFM.
7. Ambao hawavumi hila wanakula elimu ngumu kuliko.
- DIT.
8. Wanao jifanya wako busy kuliko vyuo vyote.
- MZUMBE.
9. Wanao dharaulika na wanakubali kudharaulika.
- SAUTI.
10. Wanao somea vitu muhimu ila hawajiamini kuwa wao pia ni muhimu.
-KCMC AND BUGANDO.
11. Wanaosoma elimu simplified na kujidai ni kama MUHAS.
- KAIRUKI.
12. Ambao hawajielewi, hata chuo hakiwaelewi kwa nini wanakubali kukaa mitaani mpaka leo, wakati chuo jirani kina mpaka mabus ya kuwarudisha hostel bure.
- ARDHI.
13. Wanao danganywa wao ni watu muhimu wakati si kweli.
- NIT.
14. Wazembe na huwa elimu yao yaweza ikawa jipu pia.
- KAMPALA.
15. Chuo kinachoongoza kwa kuwa na watu wazima wengi kuliko.
- JORDAN.
16. Wanaongoza kufata mkumbo wa vyuo vingine town.
- TUMAINI.
17. Wanao jifanya wazungu kisa mkoa wao unawatalii wengi.
- IAA.
18. Utasajiliwa hata kama hauna vigezo.
- CBE.
19. Wanasoma course ngumu kama engineering lakini hawapati ajira.
- MUST AND MBEYA UNI.
20. Chuo kwa ajili ya watu wenye majukumu mengi.
-OPEN.
21. Wanasoma wengi lakini mwajili mkuu ni serikali.
- MIPANGO.
22. Wanaosoma kwa sababu ya kuridhisha wazazi.
- TIA AND KISANJE.
KAMA CHUO CHAKO HAKIPO UJUE UTAFITI UNAENDELEA...nimeikuta mahali...
[HASHTAG]#Jikaze[/HASHTAG]