Ukraine wapiga meli mbili za kijeshi za Urusi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,414
Aise Urusi wana shida, huku wanapigwa na magaidi wa Kiislamu, kule wanapigwa na Ukraine.....
Kunao mnasema hao magaidi walitumwa na Ukraine, haya sasa Ukraine watakua waneongeza pigo lingine, Urusi ashikwe hadi wapi ndio afanye kweli, huyu ndiye supapawa mlitegemea awaokoe kutoka kwa Marekani.
_______

The Ukrainian military on Sunday said that it hit two large Russian landing ships, a communications center, and other infrastructure used by Russia's Black Sea Fleet during overnight strikes on the annexed Crimean peninsula.

A Russian-installed official reported a major Ukrainian attack overnight and said that air defenses had shot down more than ten missiles over the Crimean port of Sevastopol.

Reuters could not immediately verify the extent of any damage.

Kwahiyo urusi warudi nyumbani Kama KDF walivyokimbia muziki wa M23 nn!!
 
Habar safi haina ukakasi mpaka link umeweka...lakini wavaa kobaz na madela habar zao zipo telegram...kuiona mpaka admin akuunge....mamaeeeee
 
Kwa nini unateseka kwa nini usishindani naye ww
Nani kakwambia mimi nateseka. Mimi nimo miongoni mwa waliobarikiwa na Mungu. Ila ni wajibu wangu kuwakemea watu waovu kama akina putin na wafuasi wao. Yeye alikuwa na uwezo wa kumkamata Prigozhin na kumwua maana alikutana naye. Kulikuwa na sababu gani ya kudungua ndege ambamo ndani yake kuna watu wasio na hatia na akawauwa?. Putin ni dikteta hafai.
 
Tuletee za Kenya Defense Force (KDF) wakila Mabungo huko porini baada ya kuukimbia muziki wa M23.
off topic , siku hz watu hamjadili mada moja , huu utoto umekuwa mwing sana
zaman members walikuwa wanaandika madini sana mpk mtu unavutiwa kusoma
 
Back
Top Bottom